BURIANI JUSTUS MURUNGA Mwili wa mbunge wa Matungu Justus Murunga umeletwa hapa jijini Nairobi kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha Lee. Mwili wa marehemu umesafirishwa kutoka Mumias kufuatia ombi la tume ya wafanyikazi wa bunge (PSC) inayoandaa mazishi yake kutoa ombi hilo.
Mwili wa Justus Murunga Wasafirishwa Hadi Nairobi
