Office Address

Ojijo Close, off Ojijo road next to Parklands Police Station

Phone Number

+254 740 047 047

Email Address

hello@tv47.co.ke

Muhula wa pili utakamilika tarehe 19 Machi

Share
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  

UFUNGUZI WA SHULE Shule zote nchini zitafunguliwa kwa wanafunzi wote tarehe nne mwezi Januari mwaka ujao. Waziri wa Elimu Prof. George Magoha amesema wanafunzi wataanza muhula wa pili mwezi wa Januari kisha watafunga kwa likizo ya wiki saba kutoka tarehe 19 Machi ili kuwapa watahiniwa nafasi ya kufanya mitihani ya kitaifa.

Related Posts

Bulk SMS Kenya Breaking News