Kwa miaka sasa, maduka makuu ya rejareja yalishamiri na kustawi nchini, ila baada ya misukosuko katika sekta hiyo ya uchumi, mengi ya maduka hayo waliporomoka na mengine hata kusalia katika kaburi la sahau. Mtindo huo huo unajidhihirisha katika maduka yaliyosalia nchini, swali likiwa ni je, hatima yao ni ipi kwa siku za usoni?
Maduka Rejareja Yanayofifia
