Rais Kenyatta atarajiwa kuhutubia taifa kesho 2 months ago Hebrews Rono < 1 minute read Share Wabunge wasiozidi 140 ndio wataruhusiwa kuwepo katika bunge la kitaifa wakati wa hotuba ya Rais Kenyatta kwa taifa kupitia bunge kesho ili kuzuia maambukizi ya Korona.