Mti wa mugumo utasalia imara huku barabara ya Waiyaki ikikarabatiwa 2 months ago Hebrews Rono < 1 minute read Share Mti wa mugumo katika barabara ya Waiyaki hautang’olewa wala kuhamishwa ili kupisha njia kwa ujenzi wa barabara ya moja kwa moja inayotarajiwa kutengenezwa.