Makali ya Korona, mapuuza ya wananchi 3 months ago Hebrews Rono < 1 minute read Share Waziri wa afya Mutahi Kagwe ameamrisha mamlaka ya usambazaji dawa nchini KEMSA kuanza uuzaji na usambazaji wa vifaa vya kujikinga na Korona na barakoa kwa serikali za kaunti kwa bei iliyoko sokoni kwa sasa.