Magavana wanataka sheria ya mihula miwili kuondolewa 3 months ago Hebrews Rono < 1 minute read Share Ripoti ya BBI imekumbwa na vikwazo si haba kutokana na misimamo mikali ambayo imetolewa na baadhi ya wahusika wakuu katika kuipitisha ripoti hiyo.