Office Address

Ojijo Close, off Ojijo road next to Parklands Police Station

Phone Number

+254 740 047 047

Email Address

hello@tv47.co.ke

KICD yapinga kupunguzwa kwa silabasi inasema litapunguza ubora wa elimu

Share
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  

Baadhi ya wadau katika sekta ya elimu wanapinga pendekezo la kupunguza silabasi kama njia moja ya kuokoa kalenda ya shule ya mwaka huu. Mkurugenzi wa taasisi ya mtaala nchini (KICD) anasema hilo litapunguza viwango vya ubora wa elimu nchini.

Bulk SMS Kenya Breaking News