Kondoo achinjwa baada ya mwili wa mwanafunzi aliyekufa majini kupatikana 4 months ago Gachambi Nderitu < 1 minute read Share Mwili wa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo kikuu cha Moi aliyekufa maji katika mto Kiminini umepatikana siku 6 baadaye katika shughuli hiyo ya kuopoa mwili huo. kondoo alichinjwa na nyama yake kuchomwa katika eneo la mkasa. TV47